Naomba muijaribu forum yangu halaf mnipe feedback

Naomba muijaribu forum yangu halaf mnipe feedback

Mmhh japo sijaifungua ila naona imefanana mno na jf...kwa nn mkuu usitengeneze kitu cha tofauti.... Kama fb,twitter, insta nk zingekuwa zinafanana I'm sure tungeconcentrate kwenye moja tu .....
That is business, hata instagram ni feature moja ya facebook
 
Failed project. Ushauri, usiweke option ya mtu kufuta threads zake mwenyewe utapata errors 404 nyingi hadi google waipotezee site yako kwenye search engine.
 
Kabla hata sijahangaika kuifungua, wekeza kwenye ubunifu. It's like the only forum uliyoina duniani ni JF, maana hiyo yako naona umehamisha vitu vingi vya humu kwenda huko. Kilichobadilika ni jina tu. Kuwa makini Kuna suala la hati miliki, inaweza kukugharimu kabla hata hujatengeneza faida yoyote.
 
Swahililand imepokea maoni yenu sasa ina muonekano mpya
Tengeneza account uitest kwa undani ili ipate kukamilika
swahililand.forumotion.com
Screenshot_20191222-212120.jpeg
Screenshot_20191222-212139.jpeg
Screenshot_20191222-212230.jpeg
Screenshot_20191222-212306.jpeg
Screenshot_20191222-212352.jpeg
Screenshot_20191222-212419.jpeg
Screenshot_20191222-212645.jpeg
Screenshot_20191222-212548.jpeg
Screenshot_20191222-215759.jpeg
Screenshot_20191222-220058.jpeg
Screenshot_20191222-220011.jpeg
Screenshot_20191222-215954.jpeg
Screenshot_20191222-212209.jpeg
Screenshot_20191222-212324.jpeg
Screenshot_20191222-212448.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu, kuiga kitu positive sio dhambi hata jf waliiga majukwaa ya nje. Cha msingi wekeza kwenye ubunifu utafika mbali.

N.B. Usikose kuniwekea kitufe cha like huko ili nije kuanzisha uzi wa kupeana likes (jokes)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kwenye jukwaa la wanafunzi toa, weka jukwaa la elimu.
2. Unapofungua thread kwenye post ya 1 kwenye page ya pili huwa inajirudia kwahiyo ukifika kwenye page ya pili inakubidi uruke post ya 1 ili uweze kusoma comment za watu kwahiyo fanya post ya 1 ionekane kwenye page ya kwanza tu.
3. Unapompiga mtu ban, mpe sababu na kama akiomba msamaha mfungulie na kusiwe na life ban. Ban ikizidi sana iwe ni wiki 2 tu
4. Kabla ya kuedit title ya uzi, mtaarifu mtoa uzi ili kama atapenda mshiriki wote katika kuedit title
5. Kama itawezekana weka feature ya audio call na video call
*Weka forum yako freebasics.com
 
Back
Top Bottom