Naomba msasda; Ndoa inanimaliza

dah, ukishuka na ushauri hapa inabidi uje na ngumi mkononi...
 

Heheeehee nilijua tu huu mtego, kwani mleta uzi maandiko yake mengi siku zote huwa makini, na nilishangaa kisha nikang'amua kuwa tunajaribiwa!
 

pole sana
 
Hongera kwa somo la Punyeto kabla ya yote. Kumbe unabidi ufunge mlango ndio uishughulikie?

Sasa hiyo ya mkwe kwanini mkeo hayaweki sawa kwa vile yeye ndie aliyapeleka na nyinyi wawili mmeshasamehana? Mwambie mkeo akusafishe jina lako soo lishe.
 
Kaka unauza bhange? Ama unanunua? Tufanye biashara achana na wazembe...
 
Jana saa 1:26 ulitoa thread yenye heading "nataka mwanamke anayelia wakati wa chakula"
Jana hiyo saa 3:54 ukaja na thread nyingne inayosomeka"Naombeni msasda; Ndoa inanimaliza"
katika maelezo yako ya msingi ktk thread uliyotoa saa 1:26 ulisema unataka mwanamke anayelia kwa kuwa unahisi pengne umeathiriwa na mwanamke uliyedumu nae kwa muda mrefu kufariki,kila unaempata hakii kwa hiyo unaona hafai.
Katika thread ya saa 3:54 kuna maneno umeanza nayo,nanukuu"Jamani mimi nipo ndani ya ndoa ni miaka tisa sasa na sijawahi ishi na mke wangu,tunakutana wiki,mwezi ni mkubwa sana.."
Maswali:
Aliyefariki ni nani? uliyenaye sasa ni nani?
Unayemtaka kwa ajili ya kilio ni nani?
 

drama za humu utaziweza?
 
Kumbe kazoea kuchenga huyu, ona hii

1. Kamuoa mkewe, kaanza kumchenga kuishi naye.

2. Kapewa mshedede bure, kaanza kuzichenga K kwa kupiga puli.

3. Kaanzisha sred, kawachenga wasomaji wasielewe ili wachangie pumba.

4. Ananguo za kiume, anazichenga kwa kuvaa za kike.

5. Mdada wa Kenya anataka kumpa K, anamchenga na kutumia dawa ya kunyoa ndevu.

6. Ufunguo wa nyumbani kwake badala ya kuweka kwenye suruali aende nao kazini, anauchenga kwa kuuacha kwa mama mwenye nyumba au kuuficha anapoficha.

7. Anamchenga mama mkwe pia.

Yaani ni full vyenga.

Kaka unauza bhange? Ama unanunua? Tufanye biashara achana na wazembe...
 

Qkongosho pokea like 100 ma best mdada, lkn kweli saa hizi huko barabara ya 12 wewe na mpenzio Asprin mmeshamka hadi kutuma hii post? na nafkiri huyu mpenzio hujamzoeza puli yeye unampa saiz yake manake lol! namuona kimya kweli yaani wala haonekani akipita huku mitaa ya 18 nilipo na Kaizer wangu ila huyu najiibia tu jamani usiseme lol! mother house ata ni kanaumba.
 
Last edited by a moderator:
he he he, niko kwa mume wangu leo, Asprin hata sijui yuko wapi.

Ngoja nikimbie baba watoto asijue kama huwa nachakachua nje lol

 
Last edited by a moderator:
he he he, niko kwa mume wangu leo, Asprin hata sijui yuko wapi.

Ngoja nikimbie baba watoto asijue kama huwa nachakachua nje lol

ha ha ha ha lolest! Asprin kwisha habari yake. Duh! nilifikir ni mm na Kaizer tu ndo tunachakachua kumbe hata ninyi na sasa hivi naskia huyo Asprin mama mashirima kafungashia rambo lake la nguo arudi kwao, kwan kadai haki yake ya ndoa hadi paroko amuombee vinginevyo hapewi kabisa. Ila kwa usukununu wangu nmegundua ni mavaibresheni yako yamezidi kwake. taratibu bi dada eeh!
 
Last edited by a moderator:
Duh!,riwaya ndeeefu halafu hata haieleweki.,nilichogundua tu ni kuwa mzee unapiga sana nyeto.
 

jrafiki

jifunze kuwa makini, kama ni marks nakupa 04/100, grade yako F PLUS.

ungekuwa makini usinge taja hizo saa, ningekuwa mwal ningekushauri epuka kutaja data/namba kwa kuwa lazma utakosea...

maswali yako ni sahihi

1. hakuna aliyefariki
2. hata CD lolote la kutesa nalo

all my stories based on creation. not real. si kila kila kitu ni kweli, ingawaaaaaaaaa vinatokea katika mazingir\ ya kweli. kama ungenikiwa kuona cread yang ya baba na mwana..ndio ninge PM kitu flani, but its too late mod ameitoa.
 

Umekosea, rudia kusoma ukoment tena, mwambie na shoga ako
asprin
 

Yaani siamini gfsonwin, tupo wote, barabara ya 18, unanichenga? Jana umetokomea wapi my dear baada ya kuniachapo hoi barabarani? hii kesi hata Kongosho haamui hii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…