Naomba msaada

Anniem

Member
Aug 27, 2009
31
1
Nilimaliza advanced Diploma ya IT Arusha na nilibahatika kupata kazi kama computer operator sasa naomba msaada wenu natafuta mahali ninapoweza kufanya katika ujuzi wangu kwani naona unapotea.
 
IT iko pana Mzazi... labda ungefafanua unataka uutumie ujuzi wako katika nyanja ip....Programming, Networking
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom