naomba msaada

naomba msaada

omary2222

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
78
Reaction score
25
habari wanajf natumai ni wazima jamani na tatizo linalonisumbua mara kwa mara hili tatizo linahusu kupenda nilimpenda dada fulani humu jf yeye ndo alinitafuta mimi aliniomba tuwe marafiki nikakubali tukawa marafiki tukawa tunachat kwenye sim nikatokea kumpenda sana huyo dada lkn sikumwambia nataka kumwambia hapatikani hewani nasijawahi kupenda kiasi hiki naomba msaada wenu
 
Bado yuko humu Jamvini? sababu unaweza kuwa unamuwazia mtu ambaye ameishafariki tayari.
 
we nawe si umpm tu au ungeweka id yake hadharani ujumbe angeupata.
Tutolee ukichaa wako
 
habari wanajf natumai ni wazima jamani na tatizo linalonisumbua mara kwa mara hili tatizo linahusu kupenda nilimpenda dada fulani humu jf yeye ndo alinitafuta mimi aliniomba tuwe marafiki nikakubali tukawa marafiki tukawa tunachat kwenye sim nikatokea kumpenda sana huyo dada lkn sikumwambia nataka kumwambia hapatikani hewani nasijawahi kupenda kiasi hiki naomba msaada wenu
ulipaswa kujua yuko wapi, kwa vile namba ya simu na email yake unayo basi wasiliana naye tu. sisi hatuwezi kukusaidia chochote kama ninyi wenyewe hamjuanai hata kwa sura.....
 
usipende mpaka uone unachokipenda ndugu yangu wengine humu jamvini ni freemasons ohooooo....
 
duhhh aisee 'mapensi upofu'
je ulimuliza ameolew ama lah!
kwa maisha ya sasaivi sidhan kama ni ya kukurupuka tuu kumpenda mtu from nowhere.. U must start from somewhere like umuone umjue umfahamu umtamani ndo umpende!!! Serious yan.
Jipange upya
 
ulipaswa kujua yuko wapi, kwa vile namba ya simu na email yake unayo basi wasiliana naye tu. sisi hatuwezi kukusaidia chochote kama ninyi wenyewe hamjuanai hata kwa sura.....

huo ndio ukweli mkuu wng,hatuwezi kufanya lolote simply b'se hatujui id wala email ya huyo mdafada ili tuweze kumsisitiza amuangalie mshikaji asijekuleta maafa pande hizi,aongeze jitihada za kumtafuta yeye mwenyewe na kama wamekuwa destinied kuwa pamoja they 'll met some day later on,hivyo ndivyo ninavyoamini mimi kama kibol sijui kwa upande wake yeye pamoja na members wengine kiujumla.
 
Last edited by a moderator:
Kama bado ni active member basi atakua kaliona bandiko lako...
 
Back
Top Bottom