Naomba msaada

Naomba msaada

babumapunda

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
4,644
Reaction score
3,328
Hebu nisaidieni juu ya hili,binafsi c enjoy kabisa mapenzi na age mate wangu ila enjoy na kufurahia mapenzi kwa wanawake walionizidi umri,hii inasababishwa na nini,au ndo hao age mate wangu mapenzi hawayajui?
 
sasa msaada wa nn hapo, kwan kuna principle ya kufata. Ila ucpende uzinzi kijana.
 
Back
Top Bottom