Naomba msaada

Naomba msaada

kaisar19

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2021
Posts
228
Reaction score
391
Habari zenu wana jf.
Mimi ni kijana wa kitanzania ndugu yenu wa damu.

Mzaliwa wa mkoa kigoma kwa sasa naishi dar.
Nimemkimbia mke na watoto wangu wawili nilio wazaa mwenyewe, kutokana na ugumu wa maisha ya nyumbani.

Kwa sasa wanaishi nyumbani kwa kaka yangu mkubwa, najua wanakula lakini ni jukumu langu mimi kuwa hudumua katika mahitaji yao yote.

Nimefanya shughuli nyingi lakini hazijawa na manufaa ya kuniwezesha kumudu mahitaji ya familia yangu.

Kama nili vyosema hapo awali nahitaji msaada wenu ndugu zangu.

Naishi DARESSALAAM sina mbele wala nyuma

Nina kipaji cha kuigiza filamu, kuigiza sauti, na kufanya voice over za matangazo nk.

Sijapata nafasi ya kutumia kipaji changu kuwa pesa.

Naomba msaada wenu nipate angalau pikipki ya mkataba Nifanye kazi ya bodaboda.

Kwa sasa naishi maeneo ya mbagala kuu, riziki anatoa mungu kwa jitihada za kutafuta kwa jasho. Atakae guswa naomba tuwasiliane. 0684939536
 
Habari zenu wana jf.
Mimi ni kijana wa kitanzania ndugu yenu wa damu.

Mzaliwa wa mkoa kigoma kwa sasa naishi dar.
Nimemkimbia mke na watoto wangu wawili nilio wazaa mwenyewe, kutokana na ugumu wa maisha ya nyumbani.

Nimefanya shughuli nyingi lakini hazijawa na manufaa ya kuniwezesha kumudu mahitaji ya familia yangu.

Kama nili vyosema hapo awali nahitaji msaada wenu ndugu zangu.

Naishi DARESSALAAM sina mbele wala nyuma

Nina kipaji cha kuigiza filamu, kuigiza sauti, na kufanya voice over za matangazo nk.

Sijapata nafasi ya kutumia kipaji changu kuwa pesa.

Naomba msaada wenu nipate angalau pikipki Nifanye kazi ya bodaboda.

Kwa sasa naishi maeneo ya mbagala kuu, riziki anatoa mungu kwa jitihada za kutafuta kwa jasho. Atakae guswa naomba tuwasiliane. 0684939536
Umekimbia familia umewaacha wanakula nini na wanaishi vipi kwanini usikimbie nao..?

Unaubinafsi kuaminika ni ngumu sana.
Kama umeweza kukimbia familia utashindwa vipi kumkimbia boss uliyekutana nae dar tu na hamjuani..
 
Kwa nini mnakimbilia kuoa huku ukijua pangu pakavu gombania mchuzi ? Ona sasa umebaki unatia huruma, kaka yako anakugongea
 
Shida mkishakuwa mastaa mkapata vichenjecheji mnageuka mnakuwa machawa
 
Duh!

Pole sana mwamba , ndio maisha tusichoke kupambana ningekusaidia ila mwenyewe Jobless bado na Kuna michongo nasikilizia sasa hivi kula Kulala nyumbani huku nikisoma ramani.

Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi , aamiyn.

#Usikate Tamaa na usivunjike moyo , kukata tamaa ni sawa na Kukubali kuwa wewe ni mfu na kuvunjika moyo ni kujitengenezea mazingira ya kufeli.
 
Back
Top Bottom