naomba msaada

Joined
Jun 14, 2023
Posts
20
Reaction score
11
hivi Naweza badili coz maana nmepangiwa DIT na serkali Naweza badili kama nkifika chuo inawezekana🤔
 
hivi Naweza badili coz maana nmepangiwa DIT na serkali Naweza badili kama nkifika chuo inawezekana🤔
Inawezekana kabisa ila muhim uwe na uwezo nayo.
Wapo wanaobadilisha af badae nakuja jilaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…