Naomba msaada

nitakavo vamia altare kuchukua gari langu,kwanza kabla sijafika pale mbele mchungaji ananirushia funguo.lo! Jasho litakavyo nitililika kwa jazba,mchungaji akichelewa dakika mbili tu! Magazeti pendwa kesho yake yanaandika' MCHUNGAJI APEWA KIPIGO NUSU KUFA'
 
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha kabidhiwa;


Inamaana mna dini/ imani tofauti?

Pia kama umemnunulia liwe lake binafsi, basi kubaliana na matokeo ya hicho alichokifanya kama unaona amefanya kwa kadri ya imani yake na kwa nia njema ya kustawisha ndoa/ familia yenu pasipo shinikizo kutoka kwa mtu yeyote akiwemo huyo pastor aliyekabidhiwa funguo. Maana isije ikawa ndio hawa mapastor uchwara wanaoibuka na kuanzisha makanisa kila uchwao!!!!!!!!!
 
Hapo patamu. Kadai chako kwa pastor had kieleweke mana ukimuachia utasikia siku mkeo nae amepandwa mbegu kwa mchungaji! WAsi WaSI akili wahenga wanasema
 
Mke wako hajakosea kabisa ata kidogo nani mtu wakuigwa na jamii na waumini wote chakufanya muombe Mungu apokee sadaka yenu na awape upendo na moyo wakutoa.Mungu awabariki saana .


wema wa mshumaa kuwaka huku ukiteketea huo ni akili pastor apande hilo gari wakati mamaa anakufa na tabu za dala dala??....labda kama huyo mama angekuwa nayo kadhaa
 
basi kabla ya kufanya hivo akushirikishe kwanza. lkn ghafla tu hapo kuna alama ya kuuliza why? wataeleza mbele ya waumini kuna nini kinaendelea kati yao wawili.

sasa we hujui aya mambo ya iman hawa jamaa wana nguvu za ajabu kwenye kushawish watu watu wanatoa mpaka mitaj wakiamin hakuna sababu ya kua na mali dunian mmesahau mambo ya kibwetele kama ulimnunulia yeye kwa ajili ya matumiz yake achana nae iyo ni iman yake ila cha msing asikuzingue kwenye usafiri wako apande daladala mwanzo mwisho.
 
kachukue gari lako, kunamjeshi mmoja alikuwa anasoma nje ya nchi akawa
anamtumia mkwewe hela ajenge yeye akihangaika kusafisha vyoo na kubeba box
mda wa jioni huku mkewe akipeleka hele kanisan kwa mzee wetu wa kigoma pale mwenge opp na mliman city
mjeshi aliporudi akashangaa hajakuta kitu kambana mkewe akakiri, aliwenda kwa askofu akiwa na mkewe
akamwambia askofu arudishe kila kitu askofu ndani ya saa 24 vyote vilirudi yule bwana kampiga stop mkewe kwenda.askofu aliulizwa mkewe ni mwl hakushangaa analetewa zaka milioni kumi bila kuhoji zimetoka wapi.
aisee hawa jamaa wana lugha zao unaweza kujikut aunauza nyumba na kuwakabidhi.
 
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha kabidhiwa;
watu wanasemaga kuwa majina pia yasadiki hali halisi-wewe umejiita tabutupu-kwangu naona umejichulia kupata ,matatizo kama hayo
 
naona utakuwa pastor pale mikocheni,Yesu alitumia punda kwani hakuwa na uwezo
wa kupanda farasi? yeye aliishi kimaskini
iweje hawa watake utajiri? kwann basi sadaka za j2 hawapewi maskini bali wanajikusanyia wao tu
jihadharini na manabii wa uwongo.

Mke wako hajakosea kabisa ata kidogo nani mtu wakuigwa na jamii na waumini wote chakufanya muombe Mungu apokee sadaka yenu na awape upendo na moyo wakutoa.Mungu awabariki saana .
 
Back
Top Bottom