Jonasj jalison
Member
- Apr 4, 2019
- 12
- 3
Jamani nimeibiwa simu yangu ni samsung nataka kuitafta lakini sina imei number nilienda police wakasema mpaka nilete imei lakini box la simu nilishapoteza nimejaribu kutafta imei kupitia google dashboard lakini hainiletei imei inaleta jina la simu tu. Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia anipe mawasiliano yake au hata kama kuna mtu anamjua mtu anayeweza kunisaidia nikaipata hiyo simu naomba anipe mwasiliano yake.