Naomba msaada

sijajua km kuna fekelo!mie ninayo 3n 1 naitumia daily!umenunua sh ngap hyo
Hua naletewa package ya bidhaa za Garnier from UK... sasa lotion na hands au feet cream na vinginezo natumia ila kwenye hayo maji ndio nimesita.... don know the price.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hua naletewa package ya bidhaa za Garnier from UK... sasa lotion na hands au feet cream na vinginezo natumia ila kwenye hayo maji ndio nimesita.... don know the price.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.


bas km dir frm uk hzo ni OG
 
bas km dir frm uk hzo ni OG
3b9af51edcdac479eb285b7e948708a5.jpg


Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Wapendwa habari za weekend,naomba msaada wa kiushauri....nina sumbuliwa Sanaa na rushes (vichunusu,vipele) usoni hivyo kupelekea kupaka mafuta ya nazi tu,mm sio mpenzi wa tube(cream) za kutoa rushes au sabuni....mafuta ya nazi yamenisadia japo kidogo. Sasa nikaona haya mafuta (ni ya kukamulia ng'ombe maziwa) nikawaza nikiyatumia usoni yatanisaidia na kuwa na ngozi soft kwani wamasai kama sijakosea ndo huwa wanatumia mafuta haya na kufanya kuwa na ngozi nyororo naView attachment 558935 yakuteleza.....naomba mwenye kujua haya mafuta anijuze na mm. Asanteni wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hemu jaribu kutumia fair and lovely nzuri ikikufaa mm nilitumia ikanifaa
 
Set muhimu sana kwa afya ya ngozi yako
 

Attachments

  • IMG_20170810_140510.jpg
    IMG_20170810_140510.jpg
    37.9 KB · Views: 55
Pole sana kwa tatizo lako, pia karibu tunaweza wasiliana nikakuelekeza bidhaa sahihi ambazo zimetengenezwa kwa kutumia malighafi asilia na ukatibu tatizo lako bila kuchubua ngozi yako..

0672416294 au 0629273281 karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumia acnes ni nzuri sana zipo pharmacy nyingi kubwa kwa matokeo mazuri zaidi nunua acnes face wash , acnes toner na tube yake inaitwa mentholatum acnes.hapo kwenye tube zipo za aina mbili ipo moja kwa ajili ya chunusi na nyingine kwa ajili ya madoa so utapewa kulingana na mahitaji yako naamini itakusaidia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom