Maki J
Senior Member
- Mar 22, 2017
- 154
- 162
Wapendwa habari za weekend,naomba msaada wa kiushauri....nina sumbuliwa Sanaa na rushes (vichunusu,vipele) usoni hivyo kupelekea kupaka mafuta ya nazi tu,mm sio mpenzi wa tube(cream) za kutoa rushes au sabuni....mafuta ya nazi yamenisadia japo kidogo. Sasa nikaona haya mafuta (ni ya kukamulia ng'ombe maziwa) nikawaza nikiyatumia usoni yatanisaidia na kuwa na ngozi soft kwani wamasai kama sijakosea ndo huwa wanatumia mafuta haya na kufanya kuwa na ngozi nyororo na
yakuteleza.....naomba mwenye kujua haya mafuta anijuze na mm. Asanteni wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app