Naomba Msaada ZTE MF 190 inagoma kusoma Line

Naomba Msaada ZTE MF 190 inagoma kusoma Line

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Wakuu habar.

Natumia modem ya ZTE MF 190 Ya airtell. Baada ya kuichakachua kwa kutumia Dc unlocker nimetumia kama mwezi tu. Leo ghafla imegoma haisomi sim card.

Msaada wakuu
 
mkuu nmefanya hvo ila naona bado.
 
Back
Top Bottom