Top for B JF-Expert Member Joined Mar 4, 2023 Posts 1,291 Reaction score 4,412 Jun 26, 2026 #1 Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu. Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine. Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
Wakuu nina jino la uzeeni limeota mwisho kabisa upande wa juu. Mwanzo nimelivumilia nikajua likiota litapona maumivu, ila yamezidi na nikigusa naona jino linatokezea kwa pembeni nje ya usawa wa mengine. Naomba kujuzwa hospital nzuri ya meno kwa Dodoma yenye gharama nafuu
John Sin JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,244 Reaction score 16,406 Jun 26, 2026 #2 Hospital kwa Tanzania ni mloganzila tawi na muhimbili tu, hvo vingne ni vituo vya afya Unaweza ambiwa lolote la ajabu na la uongo tena kwa ujasiri mkubwa Tahadhari, jino linaweza kukufanya uwe kipofu nenda muhimbili au mloganzila mapema
Hospital kwa Tanzania ni mloganzila tawi na muhimbili tu, hvo vingne ni vituo vya afya Unaweza ambiwa lolote la ajabu na la uongo tena kwa ujasiri mkubwa Tahadhari, jino linaweza kukufanya uwe kipofu nenda muhimbili au mloganzila mapema
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,637 Reaction score 76,694 Jun 26, 2026 #3 Kituo Cha Afya Makole, Ama Mwangaza