Msaada: Wadau naomba mnisaidie Windows 10

bunyebunye

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
530
676
Heshima kwenu wakuu.
Wakuu naomba kwa ambaye anaweza kunisaidia nipate Windows 10 anisaidie kama kuna namna anaweza kunitumia online au kuna link ambayo naweza kudownload. Niko mbali na mji kwa sasa natumia Windows 8 lakini inanitaka nifanye repair maana siwezi kuinstall program nyingine na kila nikitaka kufanya hivyo computer inajizima na kuwaka tena.
Nawasilisha.
 
tafuta huko ulipo au ingia internet uicheki window INA karibia gb 6 no shidaaaa
 
Heshima kwenu wakuu.
Wakuu naomba kwa ambaye anaweza kunisaidia nipate Windows 10 anisaidie kama kuna namna anaweza kunitumia online au kuna link ambayo naweza kudownload. Niko mbali na mji kwa sasa natumia Windows 8 lakini inanitaka nifanye repair maana siwezi kuinstall program nyingine na kila nikitaka kufanya hivyo computer inajizima na kuwaka tena.
Nawasilisha.
windows 10 direct link >> http://ftp.unicamp.br/pub/apoio/Win10/iso64/Windows10.iso
 
Pia unaweza kwenda kwenye website inaitwa get into pc unaweza pata OS mbalimbali
 
Samahani mkuu, je hii window iko na keys kabisa? niliwahi kudownload window kwenye site flani mwisho wa siku ikaniomba keys nikawa sina na biashara ikaishia hapo hapo
uta-skip pate pa kuweka keys then baadae utakuja kui activate kwa kutumia kmspico
 
Heshima kwenu wakuu.
Wakuu naomba kwa ambaye anaweza kunisaidia nipate Windows 10 anisaidie kama kuna namna anaweza kunitumia online au kuna link ambayo naweza kudownload. Niko mbali na mji kwa sasa natumia Windows 8 lakini inanitaka nifanye repair maana siwezi kuinstall program nyingine na kila nikitaka kufanya hivyo computer inajizima na kuwaka tena.
Nawasilisha.
ingia humu 1337x.st/application
 
Naomba activator ya window 7 ultimate.

Wiki ya pili sasa window imekuwa sio genuine nmejaribu activator tofauti lkn wapi
 
Back
Top Bottom