Naomba msaada wenu

shegaboy

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
213
34
Mimi nina matatizo yameanza kama miezi sita hivi sasa na nimekuwa nashindwa kuelewa nini tatizo hasa. Kila ninapokula chakula huwa nasikia hali ya kutapika kama kichefuchefu hasa ninapo kutana na mafuta flani sija jua nini hasa tatizo. naomba mnisaidie nini kina nisumbua mara nikiacha hicho chakula nikikaa baadae hali hiyo inapotea inaweza kuja tena baada ya siku labda tatu au nne baadae
 
Back
Top Bottom