Natumia SAMSUNG GT - B3410. Naomba msaada wa kuweza kudownload video kwa njia ya mtandao kama vile youtube, etc. Nimejaribu kwa kila namna lakini nashindwa. Naomba msaada wenu wadau kwa hili tatizo.
Mkuu hapo itabidi u google kwa sana,
Nimejaribu kugoogle majibu niliyopata ni kuwa simu yako haisapoti youtube videos na sijapata appl unayoweza kuinstall kwa simu yako kudownload youtube.
Labda udownload kwenye pc yako kisha uconvert ndio uhamishie kwa phone yako