Naomba msaada wenu wa mawazo, natamani kudanganya

Naomba msaada wenu wa mawazo, natamani kudanganya

Mwambie uliingiliwa na popo bawa na wamekukanya usimwambie mtu hata yeye siri yake
 
Mwambie using, atwa na one of your friends ukiwa unamsaidia alipandwa na mashetani.
 
nachukia wanaume wasio na maamuzi yao binafsi!! yaani wewe unashikiwa akili na marafiki, wakikuambia ule sumu utakula? bora hata angekung'aa dyudyu tu.
 
Ha Ha ha eeeh ushawahi Pata msala unaoendana na huu nini?
So akaenda hadi alikolala akataka wafahamiane kwa nguvu....mie sitaamini

Ishu sio we kuamini
ishu ni kuweza kuvua nguo na kuendelea na maisha
story zingine tunajua kabisa hazieleweki lakini tunawaambia
mkileta maswali mengi tunajifanya tumekasirika case closed
siku inapita.....
 
me nafikiri njia ambayo itakuwa salama zaidi ni hiyo yakusema umevamiwa na vibaka umeng'atwa....tafuta siku nyakati za usiku muambie unaelekea polisi kutoa taarifa wakupe PF3 unaenda hospital kutibiwa umevamiwa na vibaka na mmoja ulikuwa umempiga roba kali akakuuma kwenye kifua,ila akisema subiri muende wote muambie ngoja ukitoka huko utamjulisha maana upo na wasamaria wema ndo unaelekea hospital halafu simu unazima fasta unajifanya una haraka umepatwa na wenge la haraka na hatari,hata akipiga simu hupokei....baada ya masaa manne aua matano ndo unampigia sasa unamuambia wamekupiga sindano ya tetenasi halafu pale kwenye alama unaweka bandeji kwanza baada ya siku mbili unaitoa...


 
[ole sana ni janga tu we mwanaume kama sisi ila aisee kuhusu kumuambia haaraka hapana jaribu kufikiri njia nyingineya kumaliza suala hili as long aas limekugusa
 
Bro ushakosea long tym...hayo mambo ilitakiwa unaanza kwenye sim umeumia labda umepigana club jamaa akakung'ata ndio ukirudi unaishia kupewa pole na kukandwa tuu...sasa wewe umeumia haujasema mpk umerudi na pia umepiga kimya lazima ahisi kitu umekosea sana...
 
Chukua wembe...jichanechane hapo kwenye alama ya meno ili kupoteza hiyo alama ya meno.....hapo tafuta sababu nyingine ya hilo jeraha
 
Achana na mambo ya kutokuwa muaminifu.
Huyo mwanamke wako hata kama hutamuambia ukweli ila umemkosea sana.
 
mbona hiyo simple tu unamwambia kuwa chizi kakuuma unajishtaki kabla ajaona ... pole aiseee na ukome
 
Mwambie umengatwa na mtoto wa rafiki yako. Ulienda kusalimia ukambeba akakukojolea kushtuka akakungata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom