Naomba msaada wenu, nimepanick

Nenda tu,ila ubebe hata panga viunoni mwako,yajayo yanafurahisha
 
Point
 
Ushawai nitokea hii nilitoa hela baclays bank aiseee hela naisikia kabisa inahesabiwa alaf ghafla ikakata nikaambiwa connection down alaf ndio ilikuwa nauli kesho kipande ndege niondoke nilipagawa alaf kuangalia salio kwenye simu hela hakuna nilipagawa sikujua nianzie wapi alag bank ni ya nje ya nchi nilifanya tu kutumia visa card na sikupata hiyo hela Hadi leo niliamua kumshukuru mungu nikakopa Kwa wadau nikaamsha siku inayofuata.
 
Ntaenda kesho,, nitaleta feedback
Hilo ni tatizo limetokea kwenye system..

Wakala ulietolea pesa hana uwezo nalo hili..

Nenda moja kwa moja kwenye Branch ya CRDB na mfumo utaonyesha kiasi halisi ulichotoa ni laki 2 na sio laki 4 ivyo hiyo pesa laki 2 itarudishwa kwa akaunti yako.
 
Faida ya ubishi.mking'ang'aniaga kitu nyie viumbe hadi mnaharibu.
 
Simply anza kwa wakala asipokuwa muaminifu nenda ngazi za juu kwa wakubwa CRDB records zote zinehifadhiwa.
 
Mpe taarifa Mr wako utaona pesa yako unaipata bila ugumu!!
 
...mbona unataka kuvuka daraja kabla hujalifikia?
Wewe nenda kwa Wakala muonyeshe meseji mbili tofauti ulizopata kuhusu transaction zako.
Bila shaka zitakuwa na muda uliopishana japo kwa dakika chache.
Kama Wakala ni muungwana basi atakukumbuka na mtayamaliza salama....ila kwa Wakala kutoa laki 4 nyingine....?
Kamsikilize...
 
Daaah,,pole sana ,,najiandaa kwenda sahivi
 
Daaah,,pole sana ,,najiandaa kwenda sahivi
 
Mumeo alikushauri umesema.
muwe mnawasikiliza wame zenu siku moja moja... sio mbaya
rudi ushahidi si unao atakubali
 
Rahisi sana.toa taarifa kwa benki husika.
Atatakiwa aonyeshe recepts na sahihi zenu wawili.akishindwa kuthibitisha anatakiwa akurejeshee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…