Material ya o'level kama civics, hist, english... Kwa mfumo wa tz naweza kuyapata kwenye tovuti gani?? Tafadhali.
nenda youtube andika somo search video lakini itakubidi uwe skull bus kaka ngeli iwe unaielewa alafu kitu kingine material ya kibongo kama ambilikile huwez yapata kwa net
Umenipa wazo la kuwa na site ya hii vitu ngoja nifanye kazi