Naomba msaada wa vitabu hivi

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,216
2,000
Wasalam,Ndugu waungwana naombeni msaada wa hivi vitabu vifuatavyo
Kitabu chochote cha Brian Tracy,na Learned Optimism by Martin Seligimans au any Ispirational Book,
nitashukuru sana.
 
Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
5,216
2,000
Pamoja mkuu ongeza knowledge kwa kujisomea vitabu
Mkuu we visongeshe tuu mi nimewasoma sana kiyosaki na Napoleon Hill,pia vya conspiracy sasa i want to go beyond,wakati nasoma kitabu fulani ndio nikakutana na hicho cha learnrd optimism jamaa ana sugest nisome,kama unavyo we tupia tuu ndugu
 
souljah meditater

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
2,146
2,000
Mkuu we visongeshe tuu mi nimewasoma sana kiyosaki na Napoleon Hill,pia vya conspiracy sasa i want to go beyond,wakati nasoma kitabu fulani ndio nikakutana na hicho cha learnrd optimism jamaa ana sugest nisome,kama unavyo we tupia tuu ndugu
 
Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom