Nimejiandaa kwa yote ili niachane na fedheha ya Ualimu.Unapobadilisha fani impact yake iko hivi:1.Ruhusa bila malipo utapewa 2.Ukimaliza masomo utaajriwa upya 3.Unachokisoma kinatakiwa kiwe ktk marketable.USHAURI SOMA UALIMU,ni kweli ualimu unakero ila ujue kuwa kila kazi inachangamoto yake.
Hii inaonyesha kuna ukakasi katika kada hii ya ulimuNimejiandaa kwa yote ili niachane na fedheha ya Ualimu.
Nimejiandaa kwa yote ili niachane na fedheha ya Ualimu.
Nimsaidie kijana.Jamani hakuna wanaofahamu haya mambo wakuu.