Naomba msaada wa Software ya data recovery

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Wakuu habari;
Naomba msaada kama kuna mru anaweza nipatia soft ya data recovery kwenye phone memory card,maana kuna vitu nilivifuta siku nyingi kidogo ila leo navihitaji kupita kiasi.

Msaada tafadhali
 
EaseUS wizard data recovery.
Tafuta yenye key activator 7bu bila kuactivate hautaweza kufanya recover ya data zako.
Nenda kickass.to
Mimi nilishaitumia ikanisaidia kurejesha vitu vyangu.
 
EaseUS wizard data recovery.
Tafuta yenye key activator 7bu bila kuactivate hautaweza kufanya recover ya data zako.
Nenda kickass.to
Mimi nilishaitumia ikanisaidia kurejesha vitu vyangu.
tumia twanga pepeta
 
to recover data on phone memory card you can use SD Card Recovery Pro[h=3][/h]
 
EaseUS wizard data recovery.
Tafuta yenye key activator 7bu bila kuactivate hautaweza kufanya recover ya data zako.
Nenda kickass.to
Mimi nilishaitumia ikanisaidia kurejesha vitu vyangu.

nashukuru mkuu nitaifanyia kazi,niliidownload hiyo mwanzo lkn haikusaidia ikawa inaniambia ni upgrade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…