Hi!
Nachukua shahada ya uhandisi yaani 'Electronics & Communication Engineering',
nakaribia kujiandaaa kufanya project kwa ajili ya kumaliza, kichwani kwangu nahisi sina mwongozo wa kutosha, labda ni kwasababu sijapata 'exposoure' ya kutosha.
Tafadhari kama kuna yeyote anawazo, site za project anisaidie.
Thanx in advance!
Rudia mwaka upate exposure ya kutosha. teh teh teh . joke.La sivyo wewe sema katika hiyo field ya electronic na fieled ya communication ni kitu gani au topic gani ilikuvtuia na unapenda . Then tafuta poject inaylenga hiyo topic au wataalamu wanaweza kukusaidia kukupa kulinganana scope. Mamabo ya kuacha mtu akushauri bila kuweka scope utaishia kufanya porject itayokuboa hata wewe mwenyewe. Scuessfull project lazima uwe na interest nayo.Ni maoni tu Na je unataka kufanya resarch project au technical project.?eg unaweza fanya project ya RFID kama ni research unaweza kufana research ya system itayotumiwa na National Identity project. (hope uko tanzania)Sikiliza hii clip kuhusu RFID inaweza kukupa idea ya proect inakufaa kwa mazingira uliyopo na resourcesulizonazoasante mkuu, i guess i've to do that, coz sometimes hii kitu inayojulikana kama kutojiamini inachangia.But u brought me to light, thanx again!
asante mkuu, i guess i've to do that, coz sometimes hii kitu inayojulikana kama kutojiamini inachangia.But u brought me to light, thanx again!
wapigie vibatani vya thanks basii...That's helpfull, i'm finally realised where i stood, infact i can do alot more, if not help from you guys.
I can't thank u enough.
But please understand u ouw me much!
Gracious!
That's helpfull, i'm finally realised where i stood, infact i can do alot more, if not help from you guys.
I can't thank u enough.
But please understand u ouw me much!
Gracious!
hata angesema, Mungu awabariki, sina cha kuwalipa , inatosha.. hizi ze ze zeee.. khaaa , i like this mkuuMkuu..yaani baada ya kukusaidia bado unatudai!?? Ama ni lugha gongana??
I owe you-nina deni lako.
You owe me much - una deni langu kubwa.
Andkia tu kwa kiswahili kaka, ndiyo lugha yetu!
1. Nenda TED.com (pitia kote ila specifically mtafute huyu kijana, Pranav Mistry on Sixth Sense)
Thanks kwa thought of the web of the day . nimependa hiyo presention ya huyo kijana na hyo link