Naomba msaada wa Photo Editor ya simu inayoweza ku-edit background

Naomba msaada wa Photo Editor ya simu inayoweza ku-edit background

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Ni application gani kwa simu za android ambayo naweza download? ambayo naweza ku edit picha zangu ili zisiweze kuonesha kitu ambacho kipo nyuma yangu. May be mawingu yalio nyuma ya picha angu au kama kuna vitu vilitokea nyuma angu mn c vitaki naweza edit visionekane naombeni mnisaidie. ile back ground niweze weka kitu kingne plzzz nambien
 
ingia play store kama unataka app ya android af search "photo layers' ni nzuri sana but ni ngumu kuimaster kama co mjanja.
 
photoshop
Chief !afadhali nimekuona!cousin wangu alibadilisha screen ya handset S2,sasa ni kwamba inafanya kama reflective layer pembeni(silverish in colour) na pia front camera iko so blured that ukifanya selfie hata macho huyaoni ila primary camera iko poa na wakati mwingine hata sauti huleta mgogoro.
Je nini kimetokea hapo?
 
Back
Top Bottom