Naomba msaada wa neno “moyo kulipuka”

Naomba msaada wa neno “moyo kulipuka”

Una uhakika hutusumbui?
1753030203774.jpg
 
Hutumika kuonesha mshangao unaotokana na kuona au kupewa taarifa ya ghafla inayoweza kuwa ya furaha au huzuni

Kwa Mfano upo kariakoo unahitaji kuchukua simu kwenye mfuko wa suruali Ile unaingiza mkono unatoa kikaratasi kimeandikwa "mjini hapa"badala ya simu lazima moyo ulipuke 😂😂😂
 
Mayo kulipuka ni ile hali ya kupata mshtuko ghafla,uoga fulani na mapigo ya moyo kwenda faster kuliko kawaida yake,

Hii inaweza kukutokea bila sababu,moyo unakushtuka ghafla kisha hali ya kawaida inakurudia,hali hii hua sio ya kawaida kama itakutokea mara kwa mara katika muda mchache/mfupi,ni lazima uende Hospitali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom