Naomba msaada wa namna ya kuwapata wanangu

Barieda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
1,811
Reaction score
2,483
Habari wanajukwaa letu pendwa!
Kwanza poleni na msiba huu mzito, uliotupata kama Taifa na leo tukiwa siku ya 7 kwa maombolezo,

Naomba nirudi kwenye maada husika, ilikuwa hivi mnamo mwezi wa 4, sikumbuki siku, mwaka 2007 katika wilaya ya Musoma mkoa wa Mara, mtaa wa Kamnyonge kwa wenyeji wa kule mtapajua, niliwahi kuwa na rafiki zangu wawili, acha rafiki mmoja nimuite { R, 1}, na wa pili awe {R, 2,} huyu {R, 2} alikuwa na mke wake japo alikuwa hajamtolea mahali na alikuwa haishi naye kutokana na changamoto za kiuchumi hivyo alikuwa anaishi kwao huko Majita-Musoma.

Sasa basi, kutokana na changamoto ya nafasi ya kulala nyumbani kwetu mimi nilipendelea kwenda kulala kwa huyu rafiki yangu ambaye ni R 1 kwa kuwa nyumbani kwao palikuwa na nafsi kubwa,na hata hivyo palikuwa jirani sana na nyumbani kwetu, usiku nilikuwa nikienda kulala na kurudi nyumbani asubuhi.

Siku moja alitokea kumtongoza Dada mmoja na wakakubaliana kuja naye nyumbani, na yule dada akawa ametoa ahadi ya kufuatwa usiku wa saa 2 ili aje kulala kabisa. baada ya kufika saa 12 jioni siku hiyohiyo yule dada wa Majita ambaye ni mke wa rafiki { R,2} alikuja kumuona mme wake hakumkuta alikuwa kasafiri na hawakuweza kuwasiliana kwa kuwa wote hawakuwa na simu, hivyo akaja kulala pale nyumbani kwa rafiki yangu{R, 1} alikuwa anapajua.

Baada ya kufika mida ya usiku mimi na rafiki yangu tulimfuata yule dada alikuwa akiishi mtaa wa jirani tu mtaa wa Biafra, nyumbani kwa rafiki yangu palikuwa na vitanda viwili vyote vilikuwa katika chumba kimoja, kwani vyumba vingine vilikuwa na wapangaji. sasa mimi na rafiki yangu tukawa tumeelawana yeye alale na demu wake na mimi nimtafune shemeji yetu, baada ya kufika mida ya kazi jamaa yangu mara romance kaanza kula mzigo, mashine yangu ilisimama mpaka ikawa inauma nami nikaanza kubembeleza mzigo huku, aisee kumbe kuna wanawake wenye misimamo yule shemeji alikataa katakata tukaishia kuvurugana tu.

Wakati tunaendelea kuvurugana rafiki yangu alikuwa kapiga bao moja la dk kama 3 hivi, kumbe ni wale wa kupiga moja na kulala jumla, baadaye sana zile fujo zilimkera akaamua kututenganisha kwa kuniita mimi nikalale kitandani kwake, na shida ndipo ilipoanzia, mimi nililala ukutani demu wake katikati yeye mwanzo, jamaa akiwa amelala nilianza kumchezea demu wake maziwa mwanzo akawa ananitoa mkono baadaye jamaa alianza kukoroma, demu alinidandia kaja juu kakalia chuma fasta nikamaliza, kwa hofu nikageuka mzungu wa nne, lakini naye aligeuka akaja juu tena kula mzigo kwa ukimya wa hali ya juu, mpka kamaliza huyu jamaa anakoroma tuu.

Usiku wa saa 9 demu kanipapasa tena nikastuka mnara ukasoma , nikamdandia juu nikala mzigo kwa utulivu sana mpaka nikamaliza tukalala tena, na huyu dada ndiye mtu wa kwanza kwangu kufanya naye mapenzi, nilikuwa sijawahi, by saa 11 alfajili jamaa yangu alistuka kutoka usingizini akamwamsha demu wakasindikizana, rafiki yangu hajajua mpaka leo, ee Mungu nisamehe kwa dhambi hii, kumbe bwana yule dada alikuwa kwenye siku za hatari alishika ujauzito wa mtu asiyemjua kati yangu ama rafiki yangu.

Baada ya mwezi mimi na rafiki yangu tuliondoka na kuelekea Dsm kutafuta maisha , hatukuweza tena kuonana na yule dada wala kuwasiliana naye mpaka leo kwa kuwa wote hatukuwa na simu, baadaye nilienda Musoma nikapata tu Taarifa kuwa yule dada alijifungua mapacha na pale alipokuwa akiishi walishahama alikua anaishi na mama yake tu, nikafuatilia alikohamia sikufanikiwa kupajua na wala hakuna aliyepajua, na nikimwuliza rafiki yangu alishasahu mpaka jina la yuel dada.

Sasa wakuu kama kuna namna nyingine ya kumpata naomba maelekezo yenu, nateseka sana, nia yangu nijiridhishe na wale watoto niweze kuwalea. ahsanteni!
 
Unajuaje kama ni wako,maana umesema alianza jamaa yako!😋
 
Hamna mtoto wako hapo watoto ni wa jamaa yako labda kama kama hawezi kutungisha mimba.

Case closed
 
Hivi unadhani kwa kuwa ulipiga bao tatu ndo mimba utakuwa uliweka wewe? Sahau babu bao la yule mzembe aliyekuwa anakoroma ndo lilosababisha Mimba unless awe jamaa ni mgumba!!!
 
Hivi ukipeleka ng'ombe machungani ikapandwa huko ndama itakayozaliwa ni ya mwenye jike au mwenye dume?
Tena kwa mwanamke aliyelipiwa mahari usipime...
 
Hizi akili za xnxxx unazileta apa kwenda uko, hii ni chai
 
Back
Top Bottom