Napaje Award Verification Number (AVN) kwa haraka?

chamng'asi

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
215
Reaction score
399
Nimeaminiwa kumfanyia application ya chuo kikuu mtu anaetumia equivalent qualifications kujoin Chuo... Wakati wa process nikaombwa Award Verification Number.

Inaonekana ni mtihani mzito kdg kupata hiyo kitu.

Tafadhali mwenye kujua njia rahisi anisaidie.
 
nakumbuka mdau wangu aliwapigia simu kulingana na Kanda aliyopo wakamsaidia chapu kumtumia hiyo namba, haikuchukua hata nusu saa, muhimu taarifa flani ziwepo karibu kama chuo ulichosoma, majina Yako na namba ya form four kama sijakosea.

Contacts zao zipo kwenye website ya nacte utaona utawapigia kulingana na Kanda uliyopo.

Ahsante.
 
Nimeaminiwa kumfanyia application ya chuo kikuu mtu anaetumia equivalent qualifications kujoin Chuo... Wakati wa process nikaombwa Award Verification Number.

Inaonekana ni mtihani mzito kdg kupata hiyo kitu.

Tafadhali mwenye kujua njia rahisi anisaidie.
Ingia mfumo wa NACTE jaza taarifa vzr lipia AVN unapata mkuu
 
nakumbuka mdau wangu aliwapigia simu kulingana na Kanda aliyopo wakamsaidia chapu kumtumia hiyo namba, haikuchukua hata nusu saa, muhimu taarifa flani ziwepo karibu kama chuo ulichosoma, majina Yako na namba ya form kama sijakosea.

Contacts zao zipo kwenye website ya nacte utaona utawapigia kulingana na Kanda uliyopo.

Ahsante.
Asante ndugu yangu
 
Nimeaminiwa kumfanyia application ya chuo kikuu mtu anaetumia equivalent qualifications kujoin Chuo... Wakati wa process nikaombwa Award Verification Number.

Inaonekana ni mtihani mzito kdg kupata hiyo kitu.

Tafadhali mwenye kujua njia rahisi anisaidie.
Kupata AVN hakuna shida kabisa labda ukosee kujaza taarifa au chuo kiwe hakijapeleka matokeo NACTE.
 
Back
Top Bottom