Mathew C Malunde
Member
- May 16, 2023
- 30
- 32
First question;WanaJF naomba msaada wa nafasi ya kazi mimi ni Mhitimu wa Chuo Kikuu nipo Kahama namba yangu ni 0719686691
namba zako hazipatikanWana JF,
Naomba kwa yeyote anatakayewiwa naomba aniwezeshe kunisaidia nafasi ya kazi.
Nipo Kahama Mjini lakini naweza kufanya kazi popote pale.
Elimu ya kilimo na mifugo haina soko ,,wanaajiri kwa kujuana pia ajira zake chache ada ni kubwa mno msije peleka watoto wenu kupotezaa mda hukoo kama hamna mtaji.Juzi tuu hapo nilikua napiga dayworker ya kupakia mpunga na mwenye Kama elimu yako since 2014 Kwa hiyo Kaa Kwa kutulia
Kahama , makazi mbona yapo mengi tu?Habari wadau wa JF naomba msaada wa nafasi ya kazi hali ni ngumu mno naomba kwa yeyote atakayependezwa anisaidie connection ya kazi nipo Kahama Mjini namba yangu ni 0621136523
Unafani gani mkuuNipe connection mkuu