Naomba msaada wa Kusomeshwa, Nimechaguliwa MUST-Mbeya

Naomba msaada wa Kusomeshwa, Nimechaguliwa MUST-Mbeya

TMC

Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
9
Reaction score
1
4cbcb3928b6b07c3c85d238bcf04ae51.jpg
 
Mungu akuwekee wepesi kwenye ombi lako uweze kufanikiwa.
 
Umepata mkopo?
Nimefuatilia kuhusu kupewa , nikaambiwa suala langu linashughulikiwa. Ndiyo maana ninaomba msaada wa pesa hii ili niende kupata usajiri wakati nasubiri mkopo kuletwa chuoni.
Form four index ni: S0110/0009/2011
 
Daah pole sana hv ukiwa na nusu Ada unaeza Fanya usajil?!
 
Mimi nimeomba wanisajiri,wakasema watanipa usajiri wa muda tu.
 
Nimefuatilia kuhusu kupewa , nikaambiwa suala langu linashughulikiwa. Ndiyo maana ninaomba msaada wa pesa hii ili niende kupata usajiri wakati nasubiri mkopo kuletwa chuoni.
Form four index ni: S0110/0009/2011
Umefuatilia Heslb?Mana mwenyewe nimepangwa hapo,Electrical ila mkopo So far nimekosa
 
Hebu nipe utaratibu uliotumia ndugu,ni kwa mawasiliano au uliwafuata physically?
Niliandika barua kwa waziri wa Elimu, pamoja na mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo.
Hilo ndilo nililofanya
 
Back
Top Bottom