Naomba msaada wa kupata USB to MIDI cable | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kupata USB to MIDI cable

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by GM7, Jul 19, 2012.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Helo, Naomba msaada tafadhali. Natafuta Hii cable kama inavyoonekana kwenye picha na matumizi yake. Je kwa hapo Dar es Salaam zinapatikana wapi na kwa sh. ngapi? Yeyote anayefahamu anijulishe. Huku kwetu kwenye baridi (Mbeya) nimetafuta nimeshindwa kupata
   

  Attached Files:

Loading...