Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanya field

Naomba msaada wa kupata sehemu ya kufanya field

Mimi nipo Dar es salaam nasomea usimamizi wa biashara (Business Admnstration) DIPLOMA mwaka wa pili katika chuo cha COLLEGE OF BUSINESS AND MANAGEMENT (CBM)
kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia naomba achukue namba yangu 0756302779 anibip mi nitampigia. nikipata nafasi Arusha Moshi au dar es salaam nitashukuru sana. nisadieni mwanenu nimekwama.

Masikini poleee jaman ngoja waje dogo utapata mpaka umenihuzunisha saana nafikiria hapa kama field inakua hivi je kazi itakuaje pole sana ila kila mtu na riziki yake mdogo wangu usikate tamaa ebu srma huwa mnafanya field maeneo gani nikusaidie kutafuta
 
dah sikuhizi field kupata mpaka hustle kazi mpaka hustle duh me nmechoka mkuu ila nenda kajaribu hata vyuo vya uhasibu dsm watakupa hata kuwafanyia training wanafunzi wa cheti
 
Mkuu field ni ishu cku hzi,me mwenyewe nilibahatisha TRA hata ckuamin..mwombe mungu tu utapata!
 
Mkuu field ni ishu cku hzi,me mwenyewe nilibahatisha TRA hata ckuamin..mwombe mungu tu utapata![ dah mkuu Ipo haja vyuo kurekebisha kuhusu mafunzo kwa vitendo yanakatisha upatikanaji wake
 
Masikini poleee jaman ngoja waje dogo utapata mpaka umenihuzunisha saana nafikiria hapa kama field inakua hivi je kazi itakuaje pole sana ila kila mtu na riziki yake mdogo wangu usikate tamaa ebu srma huwa mnafanya field maeneo gani nikusaidie kutafuta
"Nashukuru sana kwa kunipa moyo na kuhusu maeneo ya kufanyia field ni kwenye ofisi yeyote yenye kitengo cha Production manager, Marketing Manager, au Human Resource Manager"
 
Mkuu field ni ishu cku hzi,me mwenyewe nilibahatisha TRA hata ckuamin..mwombe mungu tu utapata!
Dah umebahatika kweli ndugu yang TRA pale sio mchezo ila mi pia naamin mungu atanisadia siku moja
 
dah sikuhizi field kupata mpaka hustle kazi mpaka hustle duh me nmechoka mkuu ila nenda kajaribu hata vyuo vya uhasibu dsm watakupa hata kuwafanyia training wanafunzi wa cheti
dah halafu umenipa wazo ntalifanyia kazi mkuu
 
Njoo Tmk Municipal ofis namba 15 ya Uchumi na Mipango ipo ghorofa ya 1.
 
Back
Top Bottom