Naomba msaada wa kupata hii dawa

Naomba msaada wa kupata hii dawa

ngulyabhule

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
347
Reaction score
715
Wakuu salaam nina mgonjwa (Baba mzazi) amepatikana na tatizo la moyo sasa Dr kaagiza ipatikane dawa ipo hapo chini nimejaribu mbeya pasi mafanikio dsm pia hali imekuwa ni hiyo hiyo pia!

Nimejaribu rudi tena kwa Dr pengine kama anaweza nibadirishia lakini kaishia kunieleza kwa tatizo la mzee hiyo dawa ipatikane! Shida nimeambiwa hiyo dawa inatoka India na sasa kule kuna tabu ya usafiri msaada wa mawazo katika hili.

Natanguliza shukrani.

7e5d1688-edb0-4d38-86b9-f8051246d657.jpg
 
Ahsante sana Madam huko kwa kweli sina mtu ninaye mfahamu hii pia ndiyo sababu ya kuomba msaada humu JF
Hospitali za Wahindi kama Hindumandal na Aghakhan zinaweza kuwa na stock kwenye pharmacy zao. Ulizia huko hasa kwa Dar.
 
Back
Top Bottom