Naomba msaada wa kupata Chuo

Ma-chemist

Member
May 11, 2020
36
14
Salamii Wana jukwaa kama kichwa kinavo jieleza apoo juu msaada tafadhali Kuna mdogo wangu kahitimu masomo yake ya kidato Cha sita mwaka Jana 2019/2020 kwa mchepuo wa CBG nakupata matokeo haya Chemistry: D Biology: D Geography: D Basic Applied Mathematics: D General study na Ali post pone mwaka Jana kwa sababu mbalimbali lakini mwaka huu baada ya dirisha kufunguliwa anataman kusoma Chuo Kikuu Cha Ardhii University course ya Artcheture engineer. Au Biotechnology kwa vyuo Kama SUA au UDSM

Je, kwa matokeo hayo kuna uwezekano wa kupata Kama hakuna ushaur wa course nzurii katika Vyuo vya Ardhii, University DSM, SUA?

Kwenu Wana jamvi
 
Hizo programmes zote zinataka CUT OFF POINT ya 4 tu, na yeye anazo kikubwa atembelee TCU guide book hata ya mwaka jana na Prospectus za kila chuo kwa muongozo zaidi..
 
Back
Top Bottom