Naomba msaada wa kuniandikia CV kwa mtu aliye tayari

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Habari za asubuhi wadau, kuna kazi sehemu numeambiwa niandae barua ya maombi ya kazi na Cv sina utaalamu wa kuandika cv naomba mtu wa kunisaidia kufanya hilo. Natanguliza shukrani.

Namba yangu 0622723082.

Update
Tayari nimepata mtu wa kunisaidia hii kazi.. nawashukuruni nyote
 
Habari za asubuhi wadau, kuna kazi sehemu numeambiwa niandae barua ya maombi ya kazi na Cv sina utaalamu wa kuandika cv naomba mtu wa kunisaidia kufanya hilo. Natanguliza shukrani.

Namba yangu 0622723082.

Update
Tayari nimepata mtu wa kunisaidia hii kazi.. nawashukuruni nyote
PAGEPATROL

Pagepatrol Tunatoa huduma za Editing, Proofreading And Translations.

Editing and proofreading in terms of.
Research
paper,Journals,Thesis,Articles, contract,Essay writings etc.

Translation in terms of;
Germany, English,French and Swahili.

Gharama zetu ni kwa bei nafuu Sana.

Editing and proofreading @ page Tzshs1000/=

Translation @ page Tshs 10,000/=

Pia Tunatoa huduma za kuandika

Barua za aina zote Kama vile
Application letter, scholarship letters etc. Kwa gharama nafuu kabisa Tshs 15,000/=

Pia Tunatoa huduma za kuandika CV kwa gharama nafuu Kabisa 20,000/=

Tunapatikana :

Chuo Cha CBE dar es salaam
Bibi titi Road
Kituo Akiba ( unapita mnazi mmoja )
Tupo Mkabala na chuo cha DIT

Kwa mawasiliano

WhatsApp 0767316144

Telephone no: 0714316144/0784507548

Karibuni Sana wote mnakaribishwa
 
Usitoe pesa kwa mtu, fanya hivi

* nenda stationary yeyote kubwa mwambie nataka kutengeneza CV,

*Atakupatia aina tofauti za cv na wewe utachagua inayokufaa...
 
Back
Top Bottom