Umejaribu kuassign herufi mpya imekukatalia?Naomba nisaidiwe kutokana na hizi picha kwani zamani (Desa) ilikuwepo ila sasa haipo kama picha zinavyoonyesha.
Naomba msaada njia ya kumaliza hili tatizo.
View attachment 804706 View attachment 804707
Katika picha ya pili ya disk management kuna hard drive inaitwa desa, hiyo inatakiwa iwepo kwenye ile picha ya kwanza. Haipo ndiyo anaomba msaada wa kuifanya kwenye picha ya kwanza ionekane kama ile backup na entertainment inavyoonekana.binafsi sijakuelewa
Ahsante kwa kuelezea ndio hivyo hivyo.Katika picha ya pili ya disk management kuna hard drive inaitwa desa, hiyo inatakiwa iwepo kwenye ile picha ya kwanza. Haipo ndiyo anaomba msaada wa kuifanya kwenye picha ya kwanza ionekane kama ile backup na entertainment inavyoonekana.
assign letter kwe hio discNaomba nisaidiwe kutokana na hizi picha kwani zamani (Desa) ilikuwepo ila sasa haipo kama picha zinavyoonyesha.
Naomba msaada njia ya kumaliza hili tatizo.
View attachment 804706 View attachment 804707
make sure ni ileile iliokuwako mwanzoNgoja nijaribu nilete mrejesho.
unaweza punguzaBrother nashukuru sana sema mimi jobless ningekurushia hata vocha.
Sasa imetokea vipi kitaalam hizo disk nne ni vizuri kuwepo au naweza punguza?
View attachment 804833
unaweza tumia tu hvyohvyo mkuu mi sioni km kuna shida yyteSamahani unaweza nielekeza na disk gani yenye umuhimu wa space kubwa.