Zipo ila lazima ushike sumu ya mtu unaetaka kumdukuaHakuna apps, zenye kukuwezesha kusoma au kusikia mazungumzo ya mtu mwingine.
Mtanagazo ya hizo apps, ni utapeli ka utapeli mwingine.
Ogopa vitu vinavyokupa huduma kwa njia ya mkato mkato
Hakuna apps, zenye kukuwezesha kusoma au kusikia mazungumzo ya mtu mwingine.
Mtanagazo ya hizo apps, ni utapeli ka utapeli mwingine.
Ogopa vitu vinavyokupa huduma kwa njia ya mkato mkato
Wapedwa naomba msaada wa kujiondoa Deshmax ,Kuna mtu alinielekeza kujiunga ili nipate sms za mtu niliyetaka kumfwatilia .
Ndani ya wiki mbili hizi wameshanikata 60,000 tigo pesa yaani wanakata 30,000 sijui baada ya mda gani
Hata huduma yenyewe sipati wanachukua tu hela ya Bure .
Naomba anayejua namna ya kujiondoa au ikishindikana nikatoe hela yangu nitupe line .
Hiyo pesa ulikubali kukatwa ama! Na wanatumia njia gani kufikia akaunti yakoWapedwa naomba msaada wa kujiondoa Deshmax ,Kuna mtu alinielekeza kujiunga ili nipate sms za mtu niliyetaka kumfwatilia .
Ndani ya wiki mbili hizi wameshanikata 60,000 tigo pesa yaani wanakata 30,000 sijui baada ya mda gani
Hata huduma yenyewe sipati wanachukua tu hela ya Bure .
Naomba anayejua namna ya kujiondoa au ikishindikana nikatoe hela yangu nitupe line .
Umeyatimba kwa kujifanya shilawadu kufuatilia ishi zisizokuhusu kwa lengo la kufumania.Wapedwa naomba msaada wa kujiondoa Deshmax ,Kuna mtu alinielekeza kujiunga ili nipate sms za mtu niliyetaka kumfwatilia .