Naomba msaada wa kuingiza blog yangu playstore

Naomba msaada wa kuingiza blog yangu playstore

K W L

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
232
Reaction score
48
Heshima kwa wakuu wote.

Nahitaji msaada kwa anaejua vigezo na masharti vya kuweza kuweka website au blog katika play store ya google kwa sababu nina blogu yangu ya matangazo ya biashara sasa nahitaji iwe inapatikana katika play store.
 
Mkuu Nenda Jukwaa La Techn na Science Wako Vizuri Sana
 
Sidhani kama kuna actual blog yoyote kweny play store unless uitengenezee app yake.
 
Playstore ni kwa ajili ya apps peke yake, huwezi kuweka blogs kule, ni vema ufatilie vizuri ujue apps ni nini na zinatengenezwa vipi, web based apps zilizopo kwenye playstore ni ambazo mara nyingi zimetengenezwa kwa HTML5 na Javascript.

Ambayo inachukua muda sana kujifunza kutumia, unaweza kaa mwaka mzima unajifunza kama unataka kutengeneza angalau kitu kdg kikaonekana..
 
Back
Top Bottom