Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 155
samsung inchi 32 lcd 550000, inchi 32 led series 4 650000, inchi 32 led series 5 750000, inchi 40 led series 5 1300000
plasma inapatikana inchi 43 1000000
chaguo ni lako
Duka gani mkuu wanauzwa kwa hiyo bei
samsung inchi 32 lcd 550000, inchi 32 led series 4 650000, inchi 32 led series 5 750000, inchi 40 led series 5 1300000
plasma inapatikana inchi 43 1000000
chaguo ni lako
Haina tatzo kabsa labda katika power rating maana huko wanatumia 110v sisi tunatumia 220v ila pia si tatzo maana kuna booster itapiga mzigo kama kawa,,,,
kwa hiyo hakuna shida katika mambo ya NTSC, MESECAM au PAL systems?.......
Unaufahamu wa kutosha au unadandia treni kwa mbele? Nafikiri ni lazima hiyo TV atakayoileta iwe multisystemsisi tunatumia muingereza kama si mjapan na huko PAL hiz system si tatzo kabsa sababu unaweza ibadili kwa remote tu......hamna tatizo kabsa
Unaufahamu wa kutosha au unadandia treni kwa mbele? Nafikiri ni lazima hiyo TV atakayoileta iwe multisystem
acha ushamba ww tv zote ni multsystem labda alete tv ya mwaka 80 na decoder inatoa av tu ambayo ina support format nyingi
Nashukuru stany mzalendo ......kwa hiyo nikija home na TV yangu kutoka US....itapiga mzigo kama kawa.....
Sentensi refu balaa! ILa bado hujaonyesha uelewa wako. America wanatumia NTSC system na Tanzania ni PAL . Kwa hiyo TV zinazouzwa US ni NTSC compatible. Ina maana akija na TV ya NTSC atakula hasara. Na isitoshe TV za US ni 120V,hivyo ni lazima awe na step up transformer. Nafuu yake anunue TV multisystem ambayo ina NTSC, PAL na SECAM ambazo ndizo anatumia remote kubadilisha system na hizi ni 240V.nafahamu mara elfu ya wewe unavyofahamu ndio maana nikamjibu kwa lugha nyepesi siongei kitu nisichokijua we endelea kubaki kufahamu multisystem tu ila hujui ndani ya multisystem kuna nini na tanzania tunarusha matangazo ya aina gani.....nimemjibu kwa jinsi alivyouliza maana anatambua kuna multisystem kwa sasa duniani na sidhani kama kuna tv ina PAL pekeyake au NTSC pekeyake....na nadhani hujui hata PAL na NTSC zina maana gani
Sentensi refu balaa! ILa bado hujaonyesha uelewa wako. America wanatumia NTSC system na Tanzania ni PAL . Kwa hiyo TV zinazouzwa US ni NTSC compatible. Ina maana akija na TV ya NTSC atakula hasara. Na isitoshe TV za US ni 120V,hivyo ni lazima awe na step up transformer. Nafuu yake anunue TV multisystem ambayo ina NTSC, PAL na SECAM ambazo ndizo anatumia remote kubadilisha system na hizi ni 240V.