SAMBALI
Member
- Jan 26, 2017
- 9
- 0
Habar wakuu.
kwanza natanguliza shukran zangu za dhat huku nikiwatakia pole kwa majukumu yanu ya kila siku.
Mimi nikijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, nimzaliwa wa mkoa wa Tabora wilayani Nzega. Mimi ni mwanafunzi wa chuo NIT nachukua bachelor degree in information technology mwaka wa kwanza.
Lengo la kuandika thread hii ni kutafuta msaada juu ya masomo yangu kwani naona juhudi zangu kwasasa zimegonga ukuta hasa baada ya kunyimwa tena mkopo na bodi ya mikopo awamu ya kwanza na baada ya kuapeal.
Wazazi wangu ni masikini sana pia walitengana tangu mwaka 1997 ndipo nilipo baki ktka malez ya mama ndiye aliye nisaidia na ndugu wengine mpaka kufika hapa nilipo.
Kwasasa hali imekuwa ngumu kwani tangu mwaka jana mama yangu amekuwa akisumbuliwa na magonjwa kama; Moyo kutanuka, Kisukari na Maumivu ya kifua na uti wa mgongo hivyo siwezi tena kupata msaada toka kwake kwan naona mimi ndiye nahitajika kumsaidia.
Napenda sana niendelee na masomo yangu ili hata baadae niweze kuwasaidia wanaonisaidia hasa mama yangu. Ndugu zangu kwasasa nao wana hali ngumu kiuchumi hivyo hawata weza kunichangia tena masomo yangu hali ambayo inaniumiza sana moyo wangu kwa7bu nidalili tosha za mimi kurudi nyumbani mikono mitupu. Nawaza hatakama nitaacha chuo nikipi naweza kufanya hata nikaweza kujikimu mimi na kuweka akiba ili nije kuendelea tena mwaka ujao. Hua naumia pia ninapo hesabu miaka niliyoipoteza nikiwa shule lakn hakuna hata moja ambalo naweza litumia kupambana na mazingira yanayo nizunguka. INANIUMA SANA WAKUU.
Napenda kutoa wito kwa yeyote yule atakae guswa na tatzo langu plz anisaidie bila kusita wala kunifikiria kuwa labda naweza kuwa tapeli au muigizaji.
Nahitaji mchango wenu wa mawazo ni jinsigani naitaweza kuendelea na masomo ya chuo kwa hali niliyoieleza hapo juu.
Natamani nipate mtu wa kufadhili masomo yangu hata kwa dhamana ya kazi ambayo nitakuwa nikiifanya huku nikiendelea na masomo kwani naweza omba chuo nikasoma jion ili mchana nifanye kazi.
AU
Akaniwezesha kutumia vipaji ambavyo nimebahatika kupewa na M/Mungu ili kutengenezea pesa ambayo itamlipa kwa msaada atakao nipatia.
Ninauwezo mkubwa wa;
Kutunga vitabu vya hadithi,
Tamthiliya na
Mashairi.
Pia ninauwezo mkubwa wa kutunga nyimbo, kuziimba na kuigiza.
Bila kusahau ubunifu katika biashara yenye lengo la muda mfupi na mrefu.
HAYO NDIYO YANAYO NIHUSU NDUGU ZANGU. NAOMBENI SANA MNISAIDIE NDUGU YENU HATA KIMAWAZO TOFAUTI NA MTAZAMO WANGU ILI BAADAE TUJE NUSURU TAIFA LETU NA SIYO KUWATEGEMEA AMBAO TAYARI WAKO JUU KIMAISHA MAANA HAWAJUI THAMANI YETU SISI WANYONGE. MAANA HUFIKIRI UMASIKINI WETU NIWAKUJITAKIA KUMBE WAO NDIO WALIOKUMBATIA SEHEMU YA UTAJIRI WETU.
Nawasilisha kwenu wakuu.
Ahsanteni.