Naomba msaada wa kuapoad gari kwenye App ya Bolts account

Bro ushauri wa bure, hakuna mtu atakupa taarifa za gari yake uweke kwenye app au account yako ili uweze kuwa active.

Mfumo umebadilika gari moja hutumika kwemye account moja na sio duplicate kama zamani.

Pili unahitaji document una gari ya kuemdesha, kama unalo kwann usikate vibali ukafanya kazi kihalali.

Tatu upewe taarifa za gari ukifanya tukio mwenye gari akamatwe we ukimbie au umejipangaje.

Hamna short cut siku hizi nyooka ufanye kazi kihalali acha ubabaifu
 
Ndugu gari ninalo la kuendesha sema halina vigezo kuliweka kwenye app umetoa ushauri mzuri lakin ningeomba kama tungeweza kunisaidia unisaidie
 
Upo wapi? Njoo nikuunganishe na linkee uenjoy maisha Haina Makato yoyote, kama upo dar ni pm
 
Tatizo linkee wateja hakuna, ni app nzur kwa madereva lakin kwa abiria bado si rafiki sana kama bolt, wateja weng wanapenda bei rahis, linkee nimejiunga nao ndani ya siku mbili naweza pata abiria mmoja au wawili bado haina wateja
 
Wapo ndugu yangu, madereva Hadi wanasema wanazidiwa kwa wingi wao , labda we eneo ulilopo ndio abiria Bado hawajapata taarifa vizuri
 
Gari gani unalo nikusaidie
Mkuu iko hivi gari niliko nalo ni Raum pia private kulibadilisha kwenda commercial staweza maana kadi Sina ndio maana nkaomba msaada kama kuna mtu Ana makala za gari mfano latra kadi ya gari commercial na bima anisaidie ni upload mim nitaendelea kutumia Hili gari langu
 
Back
Top Bottom