Jamani nina Lumia 900 ipo locked kupitia AT&T. Nililipia kupata unlock code toka US naona wamechemsha wamenirudishia hela yangu. Nawezaje ku-unlock simu hii?
Yani ni ngumu aise. Kama vile iphone. Ninazo lumia nimeangaika nazo lakini hamna anayeweza ku unlock. Akitokea mi ntakuwa mteja wake wa kwanza. Nina lumia 1020, 520,525 vodafone locked uk
Jamani nina Lumia 900 ipo locked kupitia AT&T. Nililipia kupata unlock code toka US naona wamechemsha wamenirudishia hela yangu. Nawezaje ku-unlock simu hii?
mkuu nipigie 0716-904626 or 0767-174757 nikufanyie factory unlocking Nokia Lumia zako..Yani ni ngumu aise. Kama vile iphone. Ninazo lumia nimeangaika nazo lakini hamna anayeweza ku unlock. Akitokea mi ntakuwa mteja wake wa kwanza. Nina lumia 1020, 520,525 vodafone locked uk