Naomba msaada wa ku-root Sony experia Z

Naomba msaada wa ku-root Sony experia Z

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
396
Kwa yeyoyete anayefahamu, nawezaje kuroot simu tajwa hapo juu bila computer?!
 
mm naweza kuroot ila software ninazo na ni dakika 5 na root

jamaa hajasema nan anaweza root xperia...anaomba msaada ..sasa habar za kujifanya unajua na maelekezo hutoi hapa hatuuzi sura...we mtu wapili huyo juu nae akajifanya anaweza anaambiea afunguke kakimbia mazima
 
Ndugu kuroot Xperia Z ni bora ukatumia computer, achana na kubahatisha rooting siyo mzaa kama kuinstall Apps kutoka Play Store, kwa hiyo tools za rooting for Xperia Z ni hapa XDA..
Hiyo ni One Click toolkit bro... Kumbuka kufanya backup ya data zako kabla ya kufanya chochote..
Pamoja Sana!
 
mm ninazo software zpo software nyng kuna adb root search google itakuja
 
hebu jaribu hii njia,

Njia rahisi kuroot xperia z c6602 na c6603 probably na zingine kwenye familia ya xperia z

mahitaji
1. kingroot ---> download hapa
2. terminal emulator ---> download hapa
3. replace kinguser with supersu.zip ----> download hapa

maelekezo namna ya kuroot

1. download, install kingroot kisha root simu yako kwa kubonyeza root button (easy enheee) kama unaipenda hii app waweza ishia hapahapa, ila kama ni mshabiki wa supersu kama mimi tuendelee step inayofuata..

2. download terminal emulater google play au popote, kisha download file namba tatu (replace kinguser with supersu.zip) liko in form of zip li unzip kisha utaona folder limeandikwa mrw liweke kwenye internal storage, kisha fungua terminal emulator na uandike
Code:
su
itaomba root permission ikubalie, kisha endelea kuandika pale pale kwenye terminal emulator
Code:
[COLOR=#454545][FONT=Hind]sh /sdcard/mrw/root.sh[/FONT][/COLOR]
itafanya yake na itakuwa imereplace kinguser na supersu

3. itaonesha errors ila usijali zi cancel tu, nenda kwenye supersu update binary

4. restart,

voilaaaa, simu yako itakuwa rooted na supersu ndani

maelezo kwa msaada wa xda-devs forum
 
Back
Top Bottom