Naomba msaada wa ku-recover data kwenye kompyuta yangu

Naomba msaada wa ku-recover data kwenye kompyuta yangu

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,645
Wadau niko kwenye njia panda..

Computer yangu mpakato (Laptop) Ili crush recently na kulikuwa na important data kwenye Desktop. Nimeshindwa kabisa ku recover data hizo zilizoko kwenye Desktop anyone anywhere in Dar that can do some Magic Please?

Nani anaweza kufanya maufundi nikaweza ku retreave only Desktop from C drive ?

Natanguliza shukrani.
 
Pole sana mkuu.

Ila heading yako ndio mbaya Mie iliwahi kunitokea basi siku tatus sijui watu wanakula nini, nilitaka kuchanganyikiwa, ndio mara ya mwanzo mtu mzima nililia kama mtoto maana was my life.

Sasa hapa utachelewa sana kupata jibu maana sio pale Omba Mods waipeleke kwenye jukwaa lake la Tech, Gadgets & Science Forum

Huko ndio sehem yake.
 
Mimi sio mtaalamu kwenye haya mambo ila kuna kipindi nilipata tatizo kama hilo rafiki yangu mmoja akanisaidia. Basically alichofanya ni kwamba alitengeneza "bootable usb" ya ubuntu, kupitia hiyo nikaweza ku-access files zangu kwenye c-drive.

Huna haja ya ku-install OS ya Ubuntu kwenye laptop unai-run kutoka kwenye usb and it will allow you to access the files on the hard drive. Labda kama kuna watu wanaweza kukufafanulia kiufundi zaidi. Ningekuwa Dar ningeweza kukusaidia maana naweza kufanya kwasababu nimekremu sio kwamba ni mtaalamu.

Jaribu kusoma hiyo website apo chini ndio hiyo tulitumia kupata software ya kutengenezea hiyo "bootable usb"

UNetbootin - Homepage and Downloads
 
thedon

Mkuu nashukuru but hii drive iko encrypted so kwenye Ubuntu nimejaribu but hikuona hizo drives najaribu ku decrypt nione kama nitafanikiwa.


ushaweka new os au bado? Kama bado itakuwa rahisi sana

Bado sijaweka OS nyingine mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nashukuru but hii drive iko encrypted so kwenye Ubuntu nimejaribu but hikuona hizo drives najaribu ku decrypt nione kama nitafanikiwa.



Hapo umenizidi utaalamu wangu. Hopefully utapata ufumbuzi. Ukipata solution tujulishe incase na sisi yakitupata siku nyigine. All the best.
 
Back
Top Bottom