Mara nyingi hii haiwezekani kwa kuwa sababu za copyright, ile decoder inarekodi makusudi katika encrypted format ambayo inaweza kuchezwa na hiyo decoder tu, otherwise watu wangenyonya movie na kwenda kuziuza.
Lakini kuwa na uhakika zaidi itabidi utaje ni decoder gani unatumia.
Lakini hata wanao_upload series kwenye torrents si wanazirecord kwenye decoder halafu wanaconvert ndio wanaupload, kutakuwa na namna.
Pvr ni container tu kama kama zip video inakuwa kwa ndani. Unatakiwa ujue key waliotumia kufanya encryption ili uweze kuconvert pvrDekoda nyingi zinarekodi kwenye mfumo wa PVR, hii ni format ngumu mno kupata converter yake. Converter nyingi tulizozea kuzipata bure online haziconvert hii format.
Dekoda nyingi zinarekodi kwenye mfumo wa PVR, hii ni format ngumu mno kupata converter yake. Converter nyingi tulizozea kuzipata bure online haziconvert hii format.
Inawezekana sana tu mkuu
Kwanza jaribu kuzi play na VLC player hii inaplay aina nyingi sana ya mafaili ya video
Lakini pia unaweza kuziconvert kuwa avi, angalia hiyo kisambusi yako inarekodi katika mfumo upi wa faili mfano flv, mov, mkv nk
Then uta search google how to convert aina hiyo ya faili to avi
Utapata option kibao za software zinazoweza kuconvert hili faili
Natumia decoda ya Azam tv, kiongozi.Mara nyingi hii haiwezekani kwa kuwa sababu za copyright, ile decoder inarekodi makusudi katika encrypted format ambayo inaweza kuchezwa na hiyo decoder tu, otherwise watu wangenyonya movie na kwenda kuziuza.
Lakini kuwa na uhakika zaidi itabidi utaje ni decoder gani unatumia.
Pvr ni container tu kama kama zip video inakuwa kwa ndani. Unatakiwa ujue key waliotumia kufanya encryption ili uweze kuconvert pvr