Naomba msaada wa ku-activate 3G Network kwenye Huawei y330

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,676
Nina tumia simu angu huawei Y330 tatizo ni kwamba nikiweka line ya Tigo iwe inatumika katika internert halafu nikaweka 3G badala ya E ina niletea H au H+ sasa nikiweka voda hainiletei H wala H+.

Sasa nilikuwa naomba msaada wa setting za 3G kwa mtandao wa Vodacom.

Msaada tafadhari.
 
Ili simu isome 3G inategemea na mtandao wa eneo husika..

Kwahyo labda hapo sehemu ulipo voda inasumbua hivyo basi jaribu kwenda sehemu network inapopatkana halafu washa 3G
 
Kuna mshikaji tupo nae hapa ye ana tumia tecno H5 lakini 3G inshka vizuri H+ na ni vodacom
 
Nina tumia simu angu huawei Y330 tatizo ni kwamba nikiweka line ya Tigo iwe inatumika katika internert halafu nikaweka 3G badala ya E ina niletea H au H+ sasa nikiweka voda hainiletei H wala H+.

Sasa nilikuwa naomba msaada wa setting za 3G kwa mtandao wa Vodacom.

Msaada tafadhari.

Pole, no settings kwa hilo,
Jifunze hapa

G ni GPRS ~ 86kbps
E ni EDGE ~ 236kbps
3G ni UMTS ~ 386kbps
H ni HSDPA ~ 3.2Mbps
H+ ni HSPA ~ 7.2Mbps or HSPA + (14.4Mbps or 21.1Mbps),
Hiyo ni kiasi ambacho unakipata kutokana na reception(signal zinavyokufikia), simu nyingi zinaoption 2 kwa UI(anachoweza kusoma mtumiaji) ila inakua btn kubwa na ndogo, so ikikuandikia E, G reception(ni katikak ya hapo), na ikiandika 3g,h,h+ ni btn hizo kubwa
 
Nina tumia simu angu huawei Y330 tatizo ni kwamba nikiweka line ya Tigo iwe inatumika katika internert halafu nikaweka 3G badala ya E ina niletea H au H+ sasa nikiweka voda hainiletei H wala H+.

Sasa nilikuwa naomba msaada wa setting za 3G kwa mtandao wa Vodacom.

Msaada tafadhari.

Furahia kupata H na H+, speed ya 3G ipo chini ukilinganisha na H na H+.
 
3G ni (third generation) ambayo H, H+ zinaangukia ndani, ikiandika 3g maana yake unapata the minimal, ikiandika H+ unapata almost maximum
 
Hakun code au ways ya.kuenable simu hiwe ina operate kwa 3g .....
 
Hao ni voda tu hawapatitkani hiyo sehemu mi natumia huawei yseries voda tabu nikiweka tigo 3g inapanda hadi shingon.
 
Back
Top Bottom