Wewe ndiyo umemnyang'anya muhuri mtendaji au!? Umesema hao watendaji wa kijiji hawatekelzi majukumu yao kama inavyopaswa, unaweza elezea majukumu gani wanapwaya?Ikiwa mwenyekiti wa kitongoji hawajibiki ipasavyo katika kutimiza wajibu wake katika maendeleo ya kijiji. Je, mwenyekiti wa kijiji aumtendaji wa kijiji kumnyang'anya mhuri ni kosa na kama ni kosa ni hatua zipi sahihi zinapaswa kuchukuliwa?