jitaland
Member
- Jul 12, 2015
- 63
- 18
Habrn ndugu zang..naombeni msaada wa keys za Kaspersky ..version 19.0.0.1088 asanten kwa muda wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo siku hizi hayapo sbb yanarudisha nyuma sana kimaendeleo software developer. Wanatumia muda mwingi halafu matokeo yake hawaoni faida yyte kwahiyo ili kupunguza huu mwanya lazima uthibitisho hiyo key kwenye server zao kwa njia ya internet kwahiyo hata ukipata key ni sawa na bure hazitafanya kazi. Nunua tu sbb ni pesa ndogo.
Mfano. hata ww umeetumia muda mwingi na pesa kutengeza program halafu mwisho wa siku watu wanatumia bure unajisikiaje? Kuna paid na free (trial) software kwahiyo usilazimishe paid iwe free
MNAUA SOKO LA SOFTWARE MA PIA MNAWAVUNJA MOYO SOFTWARE DEVELOPER.
Haya mambo siku hizi hayapo sbb yanarudisha nyuma sana kimaendeleo software developer. Wanatumia muda mwingi halafu matokeo yake hawaoni faida yyte kwahiyo ili kupunguza huu mwanya lazima uthibitisho hiyo key kwenye server zao kwa njia ya internet kwahiyo hata ukipata key ni sawa na bure hazitafanya kazi. Nunua tu sbb ni pesa ndogo.
Mfano. hata ww umetumia muda mwingi na pesa kutengeza program halafu mwisho wa siku watu wanatumia bure unajisikiaje? Kuna paid na free (trial) software kwahiyo usilazimishe paid iwe free
MNAUA SOKO LA SOFTWARE NA PIA MNAWAVUNJA MOYO SOFTWARE DEVELOPER.