HERITAGE
Senior Member
- Jul 12, 2012
- 109
- 51
Jamani jamani nimefanya installation ya Windows 7 ultimate wiki iliyopita lakini cha ajabu ni kwamba computer imekata sauti kabisa, na pale chini kwenye taskbar speaker imewekewa alama ya X (X imezungushiwa wino mwekundu).
Ko kwa mwenye idea ya jinsi ya kusolve hili tatizo please naomba anipe solution.
THANKS IN ADVANCE.....
Ko kwa mwenye idea ya jinsi ya kusolve hili tatizo please naomba anipe solution.
THANKS IN ADVANCE.....