Mwenye ujuzi wa jinsi ya kupiga window computer naomba aniekeze ili nipige kwenye computer yangu

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
1,904
1,338
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kwa yeyote anayefaham procedure ya jinsi ya kupiga window kwenye desktop naomba anielekeze jaman ili niweze piga kwenye desktop yangu

Aksanteni, nawasilisha.
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
9,154
14,087
Kwani sasa hivi kuna Operating System ipi ?

Na unataka uweke version ipi na Computer yako inakidhi minimum requirements ?

Unamjua Google ? atakueleza kila kitu
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom