dalili za mwanzo za ngoma,duh!
Asanteni wakuu. Maji nakunywa kawaida. Wakati mwingine nakunywa mengi,wakati mwingine kidogo. Nimeenda hospitali na daktari kasema tatizo linaweza kua limesababishwa na kuchangia vyoo,maji yasiyo safi au kuambukizwa kutokana na tendo la ndoa. Nimepewa dawa,nimeshaanza kunywa na zimeshaanza kufanya kazi,kwani sasa nikikojoa sisikii maumivu na mkojo umeanza kurudi katika rangi yake ya kawaida. Asanteni sana kwa ushauri wenu.
UTI!!! wacha mchezo mchafu. au bado hujatahiriwa? nenda hospitali kapime lakini la muhimu zingatia usafi hasa wa chupi, tumia maji moto uendapo haja kubwa na ndogo kujisafisha. Inaweza kukusaidia pia. kama uko mahala hakuna maabara ya maana kula vitunguu swaumu kila siku asubuhi na jioni vipunje 3 kwa wiki mojaSalaam! Wakati nakojoa (haja ndogo) nasikia maumivu makali sana,na rangi ya mkojo ipo kama ya brown! JF doctors naomba msaada wenu. Asante.
Salaam! Wakati nakojoa (haja ndogo) nasikia maumivu makali sana,na rangi ya mkojo ipo kama ya brown! JF doctors naomba msaada wenu. Asante.